资讯

Maandamano yanayoendeshwa na kizazi cha Gen-Z Kenya yamefanya Mamlaka ya Mawasiliano (CA) kuagiza vituo vyote vya televisheni ...
Nchini Kenya, vijana wamekusanyika kwa wingi siku ya Jumatano, Juni 25, kuadhimisha mwaka mmoja baada ya kuzuka kwa ...
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Amnesty International limesema watu 16 wameuawa katika maandamano ya Jumatano ya kuipinga serikali yaliyofanyika katika maeneo mbalimbali kote nchini Kenya.
NAIROBI : IDADI ya raia waliofariki dunia kutokana na maandamano ya Jumatano imefikia 16, kwa mujibu wa taarifa ya shirika la ...
Rais wa Kenya William Ruto, ametoa wito kwa waandamanaji kutovuruga amani na utulivu wa taifa, huku waandamanaji wakitishia kufika katika makazi yake rasmi jijini Nairobi.
NAIROBI : WATU wawili wamepoteza maisha na wengine 10 kujeruhiwa vibaya kufuatia maandamano makubwa yaliyofanyika hapo jana ...
Watu wawili wameripotiwa kuuawa na wengine 10 kulazwa katika hospitali ya taifa ya Kenyatta, wakiwa na majeraha ya risasi katika maandamano nchini Keneya.