资讯

Gazeti la Mtanzania "Fikra Yakinifu" ni gazeti makini linalogusa maisha ya mamilioni ya watanzania wa rika na jinsia zote. Mtanzania ni gazeti la kitaifa la kila siku linajivunia rekodi ya kuwa huru ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Kampuni zinazohusika na Usambazaji wa Mitungi ya Gesi (LPG) -TZLPGA kwa lengo la kuwashukuru kwa ...
Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa amesema kuwa katika kuimarisha thamani ya madini ya Tanzanite, Serikali imefanya marekebisho ya Kanuni za Eneo Tengefu la Mirerani za Mwaka 2019 ili ...
KATIBU Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), Dk. Kedmon Mapana, amewataka waandaaji wa matamasha nchini kutoishia tu kuimba na kusifu, bali pia kuangalia namna ya kusaidia wahitaji katika ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko. Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Jumuiya ya Mamlaka za Usimamizi wa Usafiri Majini Barani Afrika zimetakiwa kushirikiana na kuungana ili ...
Wahariri wa vyombo vya habari nchini wametakiwa kutumia vyombo hivyo kuihamasisha jamii kufanya uchunguzi wa afya upande wa magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya moyo. Rai hiyo imetolewa jana na ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanza nia Digital. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka Watendaji na Watumishi katika Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Nishati kuwa na umoja, ...
Wakuu wa polisi kutoka nchi sita za Afrika Mashariki na Kati wameahidi kushirikiana kukabiliana na uhalifu wa mtandaoni ambao unaonekana kushika kasi katika ukanda huu. Kauli hiyo imetolewa na ...
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa Ardhini kutoka LATRA kwa kushirikiana na Shirika la Asasi za Kiraia nchini (FCS), wamesaini mkataba wa makubaliano ya miaka mitatu ya programu ...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana kutumia fursa ya uwekezaji unaofanya na Serikali katika sekta ya TEHAMA ili kukuza uchumi binafsi na Taifa kwa ujumla. Ameyasema hayo leo Oktoba 17, 2024 ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imezindua rasmi Ofisi Maalum kwa Walipa Kodi Binafsi wa Hadhi ya Juu, ikiwa ni hatua ya kuboresha huduma kwa kundi la walipa kodi wenye mchango mkubwa katika uchumi wa ...
Wachezaji wa timu ya Simba, viongozi na benchi la ufundi wamekutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi leo Septemba 25,2024 baada ya kuwasili visiwani ...