资讯

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Serikali za Afrika zina kila sababu ya kuunga mkono viwanda vidogovidogo na vya ...
Sengerema. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, hakuna mgombea atakayekatwa jina lake ...
Maandamano yanayoendeshwa na kizazi cha Gen-Z Kenya yamefanya Mamlaka ya Mawasiliano (CA) kuagiza vituo vyote vya televisheni ...
Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka nchi za Afrika kuhakikisha zinakuwa na amani na umoja wa kitaifa ili kushirikiana ...
Miji iliyodhurika na hayo yaliyokuwa yakitekelezwa hadi asubuhi ya mji wa Tel Aviv na mji wa kusini mwa Israel wa Beer Sheva, ...
Kitundu amefariki dunia jana Juni 24, 2025, ambapo taarifa za msiba huo zilitolewa kupitia ukurasa wa Instagram wa mzalishaji ...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Rukwa linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumuua Sadick Sanga (52), kwa kumpiga na kitu kizito ...
Mahakama ya Rufani imebatilisha mwenendo wa kesi na kufuta hukumu ya kunyongwa hadi kufa waliyokuwa wamehukumiwa watu wawili ...
Serikali imeagiza Wakurugenzi kote nchi kuweka wazi mikataba ya wakandarasi wanaojenga miradi kwenye maeneo yao kwani kufanya ...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar (ZDCEA) imesema baada ya kusambaratisha mitandao ya uhalifu na ...
Pia, imetoa maagizo manne kwa Bodi ya Usajili wa Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi (AQRB), ikiwemo kufanya tafiti za ...
Fedha hizo ni sehemu ya mgao mpana wa Sh63 bilioni uliotolewa kwa taasisi tatu za Tanzania ili kuimarisha ukuaji wa uchumi, ...