资讯
Mgogoro kuhusu mahali atakapozikwa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu, umechukua sura mpya baada ya Mahakama Kuu ya Afrika Kusini kusitisha mazishi yaliyokuwa yamepangwa kufanyika leo, Jumatano.
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema Serikali za Afrika zina kila sababu ya kuunga mkono viwanda vidogovidogo na vya ...
Ushindi huo haukupatikana kwa kubahatisha kwa Yanga kwani ilionekana kutawala muda mwingi wa mechi ikitengeneza nafasi nyingi tofauti na Simba ambayo ilifanya hivyo mara chache huku ...
Hoja ya kufufua kiwanda cha kutengeneza matairi cha General Tyre, imeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo, kuhoji mpango wa Serikali kuhusu kiwanda hicho.
Baba huyo wa watoto sita alirejea nyumbani kwake mwishoni mwa wiki iliyoisha akiwa na mkongojo na sanduku dogo, mali ya kipekee aliyopata akiishi Uganda kwa zaidi ya miongo sita.
Sengerema. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu, hakuna mgombea atakayekatwa jina lake ...
Maandamano yanayoendeshwa na kizazi cha Gen-Z Kenya yamefanya Mamlaka ya Mawasiliano (CA) kuagiza vituo vyote vya televisheni ...
Rais Samia Suluhu Hassan amezitaka nchi za Afrika kuhakikisha zinakuwa na amani na umoja wa kitaifa ili kushirikiana ...
Serikali imeagiza Wakurugenzi kote nchi kuweka wazi mikataba ya wakandarasi wanaojenga miradi kwenye maeneo yao kwani kufanya ...
Mahakama ya Rufani imebatilisha mwenendo wa kesi na kufuta hukumu ya kunyongwa hadi kufa waliyokuwa wamehukumiwa watu wawili ...
Kitundu amefariki dunia jana Juni 24, 2025, ambapo taarifa za msiba huo zilitolewa kupitia ukurasa wa Instagram wa mzalishaji ...
Miji iliyodhurika na hayo yaliyokuwa yakitekelezwa hadi asubuhi ya mji wa Tel Aviv na mji wa kusini mwa Israel wa Beer Sheva, ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果