资讯
Chama tawala nchini Uganda, NRM kimethibitisha Rais Yoweri Museveni atawania tena urais mapema mwakani. Museveni alitarajiwa kujaribu kuongeza muda wa utawala wake wa karibu miongo minne.
KAMPALA, June 19 (Xinhua) -- Ugandan President Yoweri Museveni has called on citizens to reject voter bribery ahead of the 2026 presidential, parliamentary, and local council elections.
RAIS Yoweri Museveni amemteua mtoto wake wa kiume Jenerali Muhoozi Kainerugaba mkuu mpya wa majeshi ya ulinzi na usalama (UPDF) nchini Uganda. Hata hivyo, kwa mujibu wa DW, uteuzi huo umezua ...
Siku chache baada ya chama tawala nchini Uganda, NRM kutangaza kuyakataa matokeo ya uchaguzi mdogo wa ubunge kwenye eneo la Kawempe, rais Yoweri Museveni, sasa ametangaza kuanza kwa uchunguzi ...
Viongozi wa vyama vikuu vya upinzani Uganda, akiwemo Robert Kyagulanyi na Dkt Kizza Besigye wametangaza kuungana kwa ajili ya kumdhibiti rais Yoweri Museveni katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2026.
UGANDA: RAIS Yoweri Museveni anatarajiwa kufanyiwa kipimo cha mwisho cha Covid-19 kesho ili kubaini kama amepona ugonjwa huo. Museveni, ambaye amekuwa akijitenga tangu Juni 7 baada ya kuambukizwa ...
Nchini Uganda, rais Yoweri Museveni ameadhimisha miaka 37 tangu alipoingia madarakani kwa kutumia vita vya msituni vilivyodumu miaka mitano na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 100,000.Mengi ...
UGANDA imejitenga na kauli za mtandaoni za mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba kuhusu uwezo wake kuiteka Nairobi ndani ya wiki mbili, ikisema nchi hiyo imejitolea kuishi pamoja kwa ...
RAIS wa UGANDA, Yoweri Museveni amemtaja mkosoaji wake mwanamuziki aliyegeuka kuwa mwanasiasa Bobi Wine, kama “adui wa mafanikio ya nchi hiyo”. Rais Museveni ameyasema hayo katika mahojiano na BBC .
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amemtaja mkosoaji wake mwanamuziki aliyegeuka kuwa mwanasiasa Bobi Wine, kama "adui wa mafanikio ya nchi". Rais Museveni ameyasema hayo katika mahojiano na BBC ...
Binaisa ajimaliza, Muwanga Museveni waingia Ikulu Jumapili, Februari 10, 2019 — updated on Februari 15, 2021 Godfrey Binaisa (kulia) akiwa na mmoja wa viongozi wa jeshi la Uganda. Picha na maktaba.
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amezindua kitengo kipya cha kupambana na rushwa na Ufisadi nchini Uganda na hasa katika idara zote za Serikali kuchunguza tatizo la rushwa. Rais Museveni ameeleza ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果