资讯

Chama tawala nchini Uganda, NRM kimethibitisha Rais Yoweri Museveni atawania tena urais mapema mwakani. Museveni alitarajiwa kujaribu kuongeza muda wa utawala wake wa karibu miongo minne.